
HATIMAYE ile siku ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu na watu wengi imefika ambapo Fainali ya CONFERENCE LEAGUE itapigwa kesho huku ukitumia BET BOOST una uwanja mkubwa wa kuibuka bingwa sasa machaguo kibao ya ushindi yapo.
BET BOOST ni ofa ambayo hutolewa na Kampuni za kubashiri ambapo viwango vya ushindi vya dau huongezwa kuliko ambavyo ilitakiwa kuwa ili ushinde zaidi ambapo utabashiri kwa usahihi.
Hivyo basi wakali wa ubashiri Meridianbet wameamua kukuwekea chaguo la BET BOOST kwenye Fainali ya Conference League kati ya Real Betis vs Chelsea ambayo itapigwa kule Poland katika dimba la Tarczynski Arena Wroclaw saa 4:00 usiku.
Piga mzito mzito mechi ya fainali ya Conference league Real Betis vs Chelsea. Suka jamvi lako hapa lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
Klabu ya Chelsea chini ya kocha mkuu Enzo Maresca wamemaliza nafasi ya 4 ndani ya EPL ambayo inawapa nafasi ya kushiriki UEFA msimu ujao huku pia wakilitolea macho kombe hilo ambalo hawajawahi kulichukua baada ya kuchukua makombe yote ya Ulaya.
Real Betis wao kutoka pale Hispania wananolewa na kocha mkuu Manuel Pellegrin wamemaliza nafasi ya 6 huku ikiwa ni timu ambayo haijwahi kushinda Kombe lolote la Ulaya hadi sasa, hivyo ushindi wao kesho utakuwa ni muhimu sana kwenye historia yao.
Meridianbet kwenye chaguo la BET BOOST, Real betis vs Chelsea wameanza na,
● Anytime goalscorer- Garcia Pablo
● Double Chance- 1x
● Both Teams to score- GG
● TOTAL ODDS- 8.00
Hilo ndilo chaguo la kwanza ambalo Meridianbet wameweka kwenye mechi hii ambapo odds zake 8.00, hivyo weka dau lako na uongezewe mara mbili yake au tatu zaidi. Je nani kuondoka na ushindi?
Chaguo lingine ambalo utalikuta kwenye BET BOOST ni hili hapa,
● Final Scorer- 2
● Total Goals (2.5) Over
● Anytime Goalscorer- Cole Palmer
Ukiachana na hilo pia Meridianbet wameona kuwa ili uweze kupiga pesa vizuri wamekupa chaguo lingine la BET BOOST ambalo ni,
● Both Teams to Score- GG
● Final Score- 2
● TOTAL ODDS 4.35
Si hayo tuu lakini pia kuna BET BOOST nyingine unaweza kubashiri inaitwa Half Time- Full Time and Goal Combination- 2-2&3+ ambapo hapa ODDS zake ni 4.70. Pia kuna chaguo lingine la Double Bets- GG&4+, huku ODDS zake zikiwa ni 4.15.
Mwisho kabisa chaguo la BET BOOST kwenye fainali hii ya Real Betis vs Chelsea ni Double Bets- A11&A2+ ambapo ODDS zake ni 2.40. Bashiri sasa.
Je wewe unachagua chaguo gani la kuweka kwenye mechi hii ya Fainali?. Nani kuibuka bingwa?. Jisajili hapa.
Unasubiri nini sasa, Meridianbet unakuita uje uokote maokoto ya maana hapo kesho, tumia BET BOOST leo huenda ikawa ni bahati yako siku yako ya leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...