Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, Mkuu wa Mkoa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko akizungumza alipokuwa akizinduwa rasmi maadhimisho hayo yanayofanyika kitaifa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe.

Mwenyekiti wa Mtandao wa Elimu Tanzania – Bi. Faraja Kotta Nyalandu akizungumza kwenye hafla ya Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yanayofanyika kitaifa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe.

Mwenyekiti wa Mtandao wa Elimu Tanzania – Bi. Faraja Kotta Nyalandu (kushoto) akimkabidhi tuzo, Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, Mkuu wa Mkoa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko (kulia) kwenye hafla ya Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yanayofanyika kitaifa mkoani Katavi.

Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, Mkuu wa Mkoa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko (kulia) akimkabidhi tuzo Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Alh. Majid Mwanga (kushoto) kwenye hafla ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yanayofanyika kitaifa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe.

Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, Mkuu wa Mkoa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko akimkabidhi tuzo Mwenyekiti wa Mtandao wa Elimu Tanzania – Bi. Faraja Kotta Nyalandu kwenye hafla ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yanayofanyika kitaifa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe.

Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, Mkuu wa Mkoa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko (kulia) akimpongeza Mwenyekiti wa Mtandao wa Elimu Tanzania – Bi. Faraja Kotta Nyalandu mara baada ya hafla za uzinduzi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yanayofanyika kitaifa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe. Maadhimisho ya GAWE 2025 yameratibiwa na Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET).

Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, Mkuu wa Mkoa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko akiwahutubia wadau wa elimu alipokuwa akizinduwa rasmi maadhimisho hayo yanayofanyika kitaifa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe.

Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Alh. Majid Mwanga akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yanayofanyika kitaifa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe.

Viongozi mbalimbali, Wananchi na wadau wa elimu wakiwa katika Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025 yanayofanyika kitaifa hapa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe. Maadhimisho hayo yenye Kauli mbiu ya "Elimu Ujuzi kwa Maendeleo ya Taifa." [Education for Skills Development and Socio-economic transformation], yameratibiwa na Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET).

Mwenyekiti wa Mtandao wa Elimu Tanzania – Bi. Faraja Kotta Nyalandu (kushoto) akimkabidhi nakala ya hotuba yake, Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, Mkuu wa Mkoa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko (kulia) kwenye hafla ya Maadhimisho hayo yanayofanyika kitaifa mkoani Katavi.

Mwenyekiti wa Mtandao wa Elimu Tanzania – Bi. Faraja Kotta Nyalandu (kushoto) akisalimiana na  Mkurugenzi wa Elimu ya Msingi, kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Alhaj. Abdul Maulid kwenye hafla ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025.

Mratibu Taifa – TEN/MET, Bi. Martha Makala akizungumza kwenye hafla ya Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yanayofanyika kitaifa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe. Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) ndio waratibu wakuu wa Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, kwa kushirikiana na wadau anuai wa elimu.

Wanafunzi wakiwa katika maandamano ya Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025 yanayofanyika kitaifa hapa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe.

Wanafunzi wakiwa na mabango yenye jumbe anuai katika maandamano ya Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025 yanayofanyika kitaifa hapa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe.

Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, Mkuu wa Mkoa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko pamoja na viongozi meza kuu wakitembelea mabanda mbalimbali kwenye hafla ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yanayofanyika kitaifa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe.

Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, Mkuu wa Mkoa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Mtandao wa Elimu Tanzania – Bi. Faraja Kotta Nyalandu wakitembelea mabanda mbalimbali kwenye hafla ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yanayofanyika kitaifa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe.

Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, Mkuu wa Mkoa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Mtandao wa Elimu Tanzania – Bi. Faraja Kotta Nyalandu wakitembelea mabanda mbalimbali kwenye hafla ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yanayofanyika kitaifa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe.

Wanafunzi wakiwa na mabango yenye jumbe anuai katika maandamano ya Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025 yanayofanyika kitaifa hapa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...