
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokewa na viongozi wa chama na serikali, wakiongozwa na Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Ndugu Dadi Musa Matoroka (kulia pichani) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndugu Paul Makonda, mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kisongo Arusha. Wengine pichani ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha mjini, Dkt. Wilfred Soileli na Katibu wa CCM Wilaya ya Arusha mjini, Timothy Sanga.
Katibu Mkuu Balozi Nchimbi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Jukwaa la Wanawake Arusha 2025, litakalofanyika jijini humo, siku ya Jumanne, tarehe 24 Juni 2025.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...