
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akifungua Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa umma wakati wa Ufunguzi wa Maadhimisho hayo uliofanyika Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Juma Mkomi akitoa salamu za Ofisi hiyo wakati wa Ufunguzi wa Maadhimisho hayo uliofanyika Jijini Dodoma.
Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (hayuko pichani) wakati akifungua Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa umma yanayoendelea Jijini Dodoma.
Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea Jijini Dodoma.
Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, wakiwa na Bango la kauli mbiu kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma tayari kwa kushiriki ufunguzi wa Maadhimisho hayo yanayoendelea Jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...