MERIDIANBET imezindua ofa ya kipekee ili kuwapa wateja wao faida zaidi kwa kila miamala ya kila siku kupitia M-Pesa Push. Kuanzia sasa, wateja wanaoweka pesa kwa mara ya kwanza kila siku kupitia M-Pesa Push watapokea bonus ya 20% ya kiasi walichoweka, hadi kiwango cha juu cha shilingi 50,000 kwa siku. Ofa hii itadumu hadi Desemba 31, 2025.

Ili kustahiki bonus hii, mteja anapaswa kuweka pesa kupitia M-Pesa Push na kutumia kiasi hicho mara mbili kwa kubashiri michezo au kucheza kasino mtandaoni ndani ya siku hiyo hiyo.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Kwa wabashiri wa michezo, tiketi zinazokubalika ni zile zinazokamilika siku hiyo na zenye odds za jumla za 3 au zaidi. Tiketi zilizofanyiwa cash out hazitahesabiwa katika mahitaji ya rollover. Kwa wachezaji wa kasino mtandaoni, michezo ya sloti iliyochezwa siku hiyo itahesabiwa.

Bonus hiyo inaweza kutumika kwenye tiketi yenye jumla ya mechi nne pekee, ambapo kila mechi inahitaji kuwa na odd ya 1.5 au zaidi. Malipo ya juu zaidi kwa tiketi inayotumia bonus yatakuwa shilingi 100,000.

Wateja watapokea bonus kwa miamala yao ya kwanza ya kila siku tu, na ni lazima wawe wametumia bonus zote za awali kabla ya kupokea bonus mpya. Anza kutumia Meridianbet na M-Pesa Push leo na upate thamani zaidi kwa pesa zako.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...