RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuanza kwa usafirishaji mizigo katika reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) pamoja na mambo mengine, kutaimarisha nafasi ya Tanzania kama lango la biashara katika Jumuia ya Afrika Mashariki.
Rais Samia ametoa kauli hiyo Juni 27, 2025 alipokuwa anahitimisha shughuli za bunge Jijini Dodoma, akitoa mrejesho wa utekekezaji wa majukumu ya serikali na yale iliyoahidi kufanya hususani kwenye sekta ya uchukuzi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...