Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam kushiriki Harambee ya Uchangiaji fedha za Ujenzi wa kituo Cha Watoto wenye Mahitaji Maalumu cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Center leo Juni 05, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Zawadi kutoka kwa Watoto wenye Mahitaji Maalumu wakati wa Harambee ya Uchangiaji fedha kwaajili ya Ujenzi wa kituo Cha Watoto wenye Mahitaji Maalumu Cha Kitopeni Bagamoyo Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam leo Juni 05, 2025.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...