Mshindi akioneshwa kiwanngo cha fedha alizoshinda katika fainali ya mchezo wa kurusha ndege Aviantor Legend
Wachezaji Nane walioshiriki mchezo wa kurusha ndege (Vindege) na Betway wakiwa katika picha ya pamoja.
Mshindi wa Milioni 57,500,000 Abdulrazak Ngoroge akizungumza kuhusiana na ushindi wake mara baada ya kuwashinda watu saba katika fainali ya mwezi mmoja.
Meneja wa Masoko wa Betway Calvin Mhina akizungumza kuhusiana na kupatikana mshindi wa milioni 57,500,000.
Baadhi ya majaj wakiwa katila kutazama wachezaji wa mchezo wa vindege na Betway

*Mshindi Aahidi Kuifanya Mambo ya Msingi

Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya Bet way imemkabidhi mshindi wa mchezo wa kurusha ndege Abdulrazak Ngoroge Sh.Milioni 57,500,000 baada ya kuwashinda wenzake saba.

Akizungumza mara ya mshindi kupatikana Meneja Masoko wa Betway Calvin Mhina amesema kuwa mchezo huo umeanza Juni na Kuhitimimisha Julai 12 ambapo wachezaji Nane walipatikana na kucheza kwa ajili ya kupata mshindi.

Amesema Kampuni nyingi zinazo huo mchezo lakini Betway ndio imeweza kutoa kiasi kubwa cha fedha ambayo mshindi anaweza kufanya maamuzi yake katika kuwekeza.

Mhina amesema kuwa wachezaji wote wameonesha umahiri wao lakini alihitajika mshindi mmoja wa kushinda sh.milioni 5,750,0000.

Aidha amesema kuwa wadau wa mchezo wa kubahatisha waendelee kucheza kistaarabu na kupata ushindi na Betway.

Mshindi wa Pili alipata sh.5750000 na Mshindi wa Tatu sh.Milioni 2.8 ambapo kampuni iliona kuna haja ya kuwazawadia kifuta jasho washindi wawili.

Mshindi Ngoroge amesema kuwa fedha hiyo aliopata anahitaji kutulia katika kupanga kitu chenye manufaa kwa sasa na baadae.

Amesema kuwa fedha bila ya kutuliza akili inaweza kuisha ndani ya siku mbili na kuanza kusema fedha mwanaharamu.

Hata hivyo amesema kuwa mchezo wa kubahatisha lazima kichwa kitulie ili kuendelea kushinda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...