KATIKA dunia ya promosheni, kuna ofa nyingi, lakini chache zina mvuto wa kweli. Sasa Meridianbet wameleta kitu tofauti, kitu cha kuvutia, cha kuburudisha, na kinachoweka tabasamu usoni mwa kila mchezaji. Kinaitwa Lucky Friday, na kama jina linavyopendekeza, ni Ijumaa ya kubadili mchezo wako wa kawaida kuwa fursa ya ushindi wa kipekee.
Lucky Friday ni promosheni mpya inayowapa mashabiki wa michezo ya namba hasa Lucky 6 na Keno nafasi ya kurejeshewa sehemu ya hasara wanayopata kila Ijumaa. Ndio, umesikia vizuri. Kila Jumamosi, Meridianbet watakurudishia 10% ya kiasi chote ulichopoteza siku ya Ijumaa, kama bonasi ya pesa taslimu moja kwa moja kwenye akaunti yako.
Kwa wachezaji wote waliojisajili kupitia tovuti ya meridianbet.co.tz au kupitia app ya simu, kushiriki kwenye Lucky Friday ni rahisi kama hesabu za table ya pili. Unachotakiwa kufanya ni kucheza tiketi ya angalau dau la TZS 500 kwenye mchezo wa Lucky 6 au Keno siku ya Ijumaa. Baada ya hapo, kazi ni moja tu, kusubiri Jumamosi. Kabla ya saa 5:00 asubuhi, bonasi yako ya 10% cashback itaingia kwenye akaunti yako bila usumbufu wowote.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Na kama unadhani hii ni bonasi ya kawaida, fikiria tena. Kiasi cha juu cha cashback unachoweza kupata kwa wiki ni TZS 25,000, kiasi ambacho kinaweza kukuwezesha kurudi kwenye uwanja wa mchezo ukiwa na nguvu mpya na matumaini mapya. Hii inamaanisha kuwa hata kama ulicheza tiketi nyingi na bahati haikukutokea, bado utaondoka na zawadi kutoka Meridianbet. Kimsingi ni kwamba unapocheza hupotezi kila kitu.
Lakini kama kawaida ya Meridianbet, uwazi na uaminifu vipo mbele daima hivyo basi wameweka wazi kwamba tiketi zilizolipiwa kwa kutumia bonasi hazitahusika kwenye promosheni hii. Vilevile, wanahifadhi haki ya kusitisha au kubadilisha masharti ya Lucky Friday muda wowote endapo kutatokea udanganyifu, matumizi mabaya ya mfumo, au matatizo ya kiufundi. Haya yote yanalenga kulinda haki ya kila mchezaji na kuhakikisha promosheni inaendeshwa kwa njia ya heshima na usawa.
Zaidi ya kuwa tu na cashback, Lucky Friday inakuja kama nafasi ya kusherehekea mwisho wa wiki kwa mtindo mpya. Hii ni ofa inayokufundisha kuwa kushindwa sio mwisho kwani kuna zawadi ndani yake. Bahati inaweza kuchelewa, lakini faraja haikosekani. Hivyo, badala ya kuingia kwenye wikendi ukiwa na huzuni ya kupoteza, sasa unaweza kuingia na matumaini mapya, ukiwa umejua kuwa Jumamosi yako ina jambo jema.
Kwa hiyo, kama ulikuwa hujui nini cha kufanya Ijumaa yako, sasa umepata jibu. Ijumaa ni siku ya kujaribu bahati yako kwenye Lucky 6 na Keno, na Jumamosi ni siku ya kuvuna kilichoonekana kama hasara. Jiunge na Meridianbet, uwe na nafasi ya kushiriki kwenye Lucky Friday, na ufanye kila mwisho wa wiki kuwa mwanzo mpya wa furaha.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...