USIKOSE fursa ya kipekee ya kushiriki katika Shindano kubwa la Sloti la Expanse, ikiwa ni promosheni ya kusisimua kutoka Meridianbet iliyoanza tarehe 08 Julai hadi 22 Julai 2025, ikiwa na zawadi za pesa taslimu na spin za bure kwa washindi.

Ikiwa una akaunti halali ya Meridianbet na umri wa miaka 18 au zaidi, hii ni nafasi yako ya kuingia kwenye michezo ya Expanse kama vile, Pia Premium, 100 Super Icy, Gates of Olympia, God of Coins, Leprechaun Wish, Pinata Loca, Wild Icy Fruits, Wild White Whale, na Zombie Apocalypse na kujishindia zawadi za kipekee kutoka Meridianbet.

Kama bado huna akaunti ya Meridianbet basi unachelewa kuwa bingwa. Fanya maamuzi ya busara zaidi kwa kujisajili sasa na jiunge kwenye shindano hili kupitia tovuti ya meridianbet.co.tz au app ya simu ya Meridianbet, weka daula kuanzia TZS 1,000 kwa kila mzunguko, na uchukue fursa ya ushindi kwenye michezo hii.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Washindi wa juu watapewa zawadi kubwa za pesa taslimu kuanzia TZS 1,000,000 kwa nafasi ya 1, TZS 500,000 kwa nafasi ya 2, TZS 250,000 kwa nafasi za 3 na 4, TZS 100,000 kwa nafasi ya 5, huku washindi wa nafasi ya 6-10 watajishindia spin 100 za bure kwenye Pia Premium, na spin 50 za bure kwa nafasi za 11-20.

Wale watakaopata free spins, yaani bingwa namba 6 hadi 20 watahitaji kuuzungusha ushindi walioupata kutokana na spin hizo mara 60 ili kuhamishiwa kwenye akaunti zao za pesa halisi, na hii inakua ni fursa ya kuongeza ukubwa wa ushindi wao kwani ikitokea ushindi wowote kwenye mizunguko hiyo 60 basi utawekewa kwenye akaunti yako huo ushindi.

Taarifa za malipo zitakuwa zikiwafikia washindi moja kwa moja mapema sana kwani Meridianbet hawana longolongo kwenye suala zima la kutoa ushindi kwa wahusika kwani wanawathamini sana wateja wao.

Meridianbet wameweka ofa hii kwa mteja mmoja, yaani mtu mmoja kwa kila akaunti iliyosajiliwa. Na kwa kujisajili, basi moja kwa moja mteja anakua amekubali vigezo na masharti ya promosheni hii, huku Meridianbet ikibaki na haki ya kubadilisha au kusitisha ofa hii wakati wowote ili kuhakikisha uadilifu.

Huu ni wakati wako wa kubadili michezo kuwa kipato kwa kushiriki michezo ya kasino mtandaoni kutoka meridianbet. Jisajili sasa meridianbet.co.tz, jiandikishe kwenye shindano, na cheza sloti za Expanse kwa bidii ili uwe miongoni mwa mabingwa wanaoshinda sehemu yao ya zawadi za TZS 1.5 milioni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...