RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali, Familia na Wananchi katika kumuombea dua Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, kabla ya kufunguwa Kambi ya Matibabu na Uchunguzi wa Afya, unaofanywa na Madaktari Bingwa kutoka Nchini Kenya, ikiwa ni kumuenzi Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa vitendo kupitia matibabu hayo, yaliyofanyika katika Kijiji cha Mwangapwani Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja leo 21-7-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali,Wanafamilia na Wananchi alipowasili katika viwanja vya kaburi la Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, kwa ajili ya kumuombea dua, kabla ya kufunguwa Kambi ya Matibabu na Uchunguzi wa Afya, yanayofanywa na Timu ya Madaktari Bingwa kutoka Nchini Kenya, ikiwa ni kumuenzi Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa vitendo kupitia matibabu hayo, yanayofanyika katika Kijiji cha Mwangapwani Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja leo 21-7-2025.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Tiba Wizara ya Afya Zanzibar Dr. Msafiri Marijani, wakati akitembelea Kambi ya Matibabu na Uchunguzi wa Afya, kabla ya kuifungua, inayofanyika katika Kijiji cha Mwangapwani Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja, leo 21-7-2025 itatowa huduma za afya kwa Siku Sita kwa Wananchi, chini ya Madaktari Bingwa kutoka Nchini Kenya, ikiwa ni kumuenzi Hayati Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiwa katika viwanja vya Kijiji cha Mwangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja wakisubiri kupata huduma za Matibabu na uchungua afya zao, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kambi hiyo ya Siku Sita ya Madaktari Bingwa kutoka Nchini Kenya,iliyofanyika leo 21-7-2025, ikiwa ni kumuenzi Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Kambi ya Matibabu na Uchunguzi ya Afya kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, ikiwa ni kumuenzi Hayati Ali Hassan Mwinyi Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa vitendo kupitia matibabu hayo, yatayofanyika kwa Siku Sita na Timu ya Madaktari Bingwa kutoka Nchini Kenya katika Kijiji cha Mwangapwani Wilaya na Kaskazini “B” Unguja leo 21-7-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana Mwakilishi wa Timu ya Mdaktari Bingwa kutoka Nchini Kenya Mhandisi Alwi Ahmad Badawi, baada ya kufungua Kambi ya Matibabu na Uchuguzi wa Afya kwa Wananchi, ikiwa ni kumuenzi Hayati Ali Hassan Mwinyi Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yanayofanyika katika Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa Siku Sita kuazia leo 21-7-2025.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...