PROMOSHENI nyingine kali na ya kibabe imetua kwa wababe wa ubashiri Meridianbet ambapo Bilioni 6 kushindaniwa leo. Je unajua kuwa unaweza kuwa moja ya wanaoshindania zawadi hii ya kutimiza ndoto zako?. Jisajili na ushiriki hapa.
Kila siku ni sehemu ya kujiondokea na fursa za kibabe ndani ya Meridianbet ambapo mashindano haya ya Playson Short Races yameanza jana tarehe 09 Julai na yaenda mpaka mwakani Juni 24 mwaka 2026 huku utoaji wa zawadi ukigawanywa kwenye makundi matatu. Usikose fursa hii sasa, huenda huu ndio wakati wako.
Meridianbet inasema hivi, kila mzunguko wa mchezo ni nafasi ya kupata pointi, kupanda viwango na kuibuka mshindi. Kila sekunde ina maana, kila ushindi ni hatua moja karibu na mamilioni.
Ingia kwenye akaunti yako sasa ya Meridianbet nenda kwenye Kasino na uanze kucheza michezo pendwa kabisa ambayo ipo kwenye promo hii ya Playson Short Races. Pesa ipo nje nje usikose sasa.
Michezo ya kasino ya mtandaoni kukupatia mamilioni leo. Cheza Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Jumal ya zawadi kwenye Promosheni hii ni shilingi Bilioni 6 ambayo itatolewa kama ifuatavyo,
● Julai- Novemba 2025: Takribani 450,000,000 TZS kwa mwezi
● Desemba 25 na Januari 2026 : Takribani 750,000,000 TZS kwa mwezi
● Februari-Juni 2026: Takribani 450,000,000 TZS kwa mwezi
Ndugu mteja ili uweze kushiriki vyema na kikamilifu kwenye promosheni hii ya Playson Short Races lazima uweke dau lako ambalo si chini ya shilingi 600. Lakini pia unaweza ukaweka zaidi ya pesa hiyo na kucheza michezo inayoshiriki kwenye kampeni hiyo.
SHERIA ZA PROMOSHENI HII
● Inapatikana kwenye mfumo wa pesa halisi
● Dau la chini ni shilingi 600 TZS
● Kila ushindi unachangia kwa alama za mchezaji kwenye orodha ya washindi
ZAWADI ZA WASHINDI
● Zawadi za pesa zitakabidhiwa kwenye akaunti za wachezaji ndani ya saa 72 baada ya kumalizika kwa promosheni
● Thamani zote zinategemea EURO, na zitabadilishwa kuwa TZS kwa kiwango cha 3000
● Viwango vya kubadilisha fedha vitawekwa masaa 72 kabla ya mashindano kuanza
● Playson ina haki ya kubatilisha matokeo au kufuta zawadi kutokana na makosa ya kiufundi au udanganyifu wowote.
Michezo ambayo inashiriki kwenye promosheni hii ya Playson Short Races ni kama ifuatavyo. Ipo mingi sana lakini hii ni baadhi ambayo unaweza ukaweka dau lako na kuanza kuicheza. Buffalo Power, 3 Magic Lamps, Burning Fortunator, Fire Coins, 3 Carts of Gold, Arizona Heist, Clover Charm, Solar Queen na mingine kibao.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...