Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete alipotembelea Banda la Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB lililopo katika Kijiji cha Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Julai 04 2025 jijini Dar es Salaam. Akiwa katika Banda hilo Mhe. Kikwete amekutana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi Wakili Patrick Kipangula aliyemuelezea historia fupi ya kuanzishwa Bodi hiyo, majukumu yake na maendeleo ya zoezi la usajili wa Waandishi wa Habari na ugawaji wa vitambulisho vya uandishi wa habari kwa waliokidhi vigezo vya kisheria.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...