Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhani Kailima, akimwelekeza Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Democratic Party (DP) Mhe. Abdul Juma Mluya
Mgombea Mwenza, Mhe. Sadoun Abrahman Khatib akisaini kitabu huku akishuhudiwa na Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Democratic Party (DP) Mhe. Abdul Juma Mluya akisaini kitabu.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza, Kushoto aliyeketi ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji wa Rufani (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza, Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji wa Rufani (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk na kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ndg. Ramadhani Kailima.
Wanachama wa Chama cha Democratic Party wakiwa katika ukumbi wa kutolea fomu wakifuatilia matukio.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...