Picha za matukio mbalimbali ya Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel John Nchimbi leo Alhamisi Oktoba 2,2025,akiwahutubia Wananchi wa jimbo la Nanyamba,wakati akielekea wilaya ya Tandahimba kwenye mkutano wake mkubwa wa hadhara wa Kampeni,akiendelea kuzisaka kura za ushindi wa kishindo za Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...