KATIKA kuendelea kuboresha huduma na kuwapa wateja wake uzoefu bora wa kubashiri popote walipo, Meridianbet inakuletea promosheni kabambe: “Pakua App Yetu & Ushinde” ambapo wateja wapya wanaweza kujishindia Bonasi hadi TZS 10,000 kwa tiketi yao ya kwanza kupitia app!

Hii ni nafasi ya kipekee kwa kila mtumiaji mpya wa app ya Meridianbet kuanza safari ya ushindi kwa mtindo tofauti – hata kama tiketi ya kwanza itapotea!
Jinsi ya Kushiriki: Rahisi Sana!

1. 📲 Pakua Programu Yetu ya Meridianbet App inapatikana kwa watumiaji wa Android, Huawei, na iOS. Pakua kupitia tovuti yetu rasmi au duka la simu lako.

2. 🎯 Weka Dau la Kwanza Kupitia App. Chagua tukio lolote kutoka kwenye michezo mbalimbali, weka dau lako kupitia app.

3. 🎁 Pata Bonasi hadi TZS 10,000. Iwapo tiketi yako ya kwanza itapotea, utapokea marejesho ya bonasi hadi kufikia TZS 10,000 – ni zawadi ya kuanza safari yako ya ubashiri!
Kumbuka:

· Ofa hii ni maalum kwa wateja wapya waliopakua app kwa mara ya kwanza.

· Dau lolote linaweza kukupa bonasi – hakuna kiwango cha chini cha kuweka.

· Tiketi iliyowekwa lazima iwe ya michezo kupitia app mpya iliyopakuliwa.
Kwa Nini Upakue App ya Meridianbet?

✔️ Ubashiri wa haraka na rahisi popote ulipo ✔️ Michezo mingi na odds kubwa
✔️ Matukio ya moja kwa moja (live betting) ✔️ Bonasi na promosheni za kipekee kwa watumiaji wa app

Usikose nafasi hii ya kipekee! Pakua app ya Meridianbet leo, weka tiketi yako ya kwanza, na ufurahie ushindi – hata kama tiketi ya kwanza haikutoboa!

👉 Tembelea HAPA sasa ili kupakua app na kuanza kushinda!

MERIDIANBET – “TUNAANZA NA WEWE, TUNASHINDA PAMOJA”.

Siku ya leo, suka jamvi lako na Meridianbet pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...