Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO) na Shirika la Mdini nchini(STAMICO) kwa pamoja wamesainiana mkataba wa wa awali (MOU) juu ya utafiti wa kiufundikatika kufanya utafiti wa madini ya Kimkakati katika mikoa ya Kagera na Singida.
Katika uwasilishaji wa taarifa hiyo, Mkurugenzi mkuu wa TIRDO Prof.Mkumbukwa MadundoMtambo amewaasa wataalam waliopewa jukumu hilo kuhakikisha wanafanya kazi kwa uweledihuku wakijua utafiti huu ni wa muhimu sana katika maendeleo ya Viwanda na sekta ya madininchini.
Prof.Mtambo ameongeza kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wizaraya Viwanda na Biashara, imeikabidhi TIRDO jukumu la kuongoza utafiti mkubwa wa kitaifa ilikutathmini uwezo wa kiuchumi na viwandani wa rasilimali za madini ya mkakati. Madini hayani muhimu kwa ujenzi wa viwanda na mageuzi ya uchumi.
Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Madini nchini DR. Venance Mwasseamesema kuwa wao kama wataalam wa madini watahakikisha malengo ya makubaliano hayayanafikiwa kwa faida ya pande zote mbili lakini Zaidi ni kuhakikisha nchi inanufaika na utafitihuu,
Dr.Mwasse aliongeza kuwa Ushirikiano kati ya TIRDO na STAMICO ni muhimu kwamaendeleo ya viwanda nchini. Unaonyesha nguvu ya kuunganisha utafiti wa kisayansi, ubunifuwa kiteknolojia, na maendeleo ya rasilimali za madini. Ushirikiano huu utachangia kujenga sektaya viwanda inayotegemea maarifa, ushindani, na uimara.
Naye Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uhandisi kutoka TIRDO Mha. Ramson Mwilangaliamesema kuwa utafiti huo unaanza mara moja kuanzia sasa ambapo katika mkoa wa Singidautafiti utafanyika katika Wilaya na Kiomboi na kwa Mkoa wa Kagera utafiti huo utafanyikakatika WEilaya ya Kyerwa.
Mhandisi Ramson amezitaja madini ya kimkakati kuwa ni, Lithium inayotumika kutengeza betriza magari ya umeme.Cobalt – betri na vifaa vya elektroniki.Nickel – betri na chuma cha pua.Graphite – katodi za betri pampja na Manganese inayotumika katika uzalishaji wa chuma nabetri.
Upatikanaji wa takwimu sahihi wa madini ya kimkakati kwa ajili ya mamlaka za juu kufanyamaamuzi ya uendelezaji ;
Prof. Mtambo pia aliongeza kuwa utafiti huu utasaidia katika andiko la mradi ambalolitawawezesha upatikanaji wa fedha toka taasisi za kiefedha kwa ajili ya utekelezaji , Kuongezachachu ya uendelezaji wa rasilimali za madini kwa ajili ya uchumi endelevu wa viwanda,Kusaidia katika uendelezaji wa mnyororo wa thamani wa madini hayo hapa nchini na kuondoadhana ya kusafirisha madini ghafi , Kupanga kwa ufanisi na kusimamia kwa uwajibikaji utajiriwa madini wa Tanzania kwa maendeleo ya muda mrefu ya nchi Kuongeza ajira na ustawi wajamii katika sehemu husika pamoja na uboreshaji na uendelezaji wa miundombinu kamabarabara, umeme, maji, n.k pamoja na.
Pamoja na TIRDO, STAMICO lakini pia utafiti huu utahisha pia wataalam kutoka Shule yaMadini na Jiolojia ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Mkutano huu umeonyesha kiwango cha juu cha utaalamu, ushirikiano, na kujitolea katika kusukuma mbele ajenda ya maendeleo ya taifaletu. Majadiliano, hoja, na mawasilisho yaliyowasilishwa yameimarisha mipango yetu yakiufundi na kuweka msingi thabiti kwa utekelezaji wenye mafanikio wa mradi huu muhimu kwataifa.
Mkataba huo wa ushirikiano umefikiwa mjini Morogoro katika ukimbi wa chuo cha Ujenziambapo kwa pamoja washiriki wote wamekubaliana kuanza kazi mara moja kwa kuzingatiamaelekezo ya viongozi lakini pia kuhakikisha kuwa taifa linanufaika na rasilimali zilizopo nchinibaada ya utafiti wa kina wa kitaalam.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...