Ofisa wa M-Pesa kutoka Vodacom Tanzania Plc Evelyn Mwinuka akikabidhi Kapu kwa moja ya wateja wa kampuni hiyo Lukas Njabeki Chuma, ikiwa ni ishara ya kurudisha shukrani kwa wateja wa kampuni hiyo.
Tukio hilo limefanyika eneo la Ipinda-Kyela jijini Mbeya ikiwa ni muendelezo wa Vodacom Tanzania na msimu wa sikukuu wakigawa makapu ya sikukuu maeneo mbalimbali nchini.
Meneja mauzo wa Vodacom Tanzania Plc mkoa wa Iringa, Zidiel Mbwambo akikabidhi Kapu la sikukuu kwa Rehema Robert Mwang'onda ikiwa ni ishara ya kusherehekea na wateja wa kampuni hiyo katika msimu huu wa sikukuu. Tukio hili limefanyika eneo la Ipinda - Kyela, jijini Mbeya







Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...