Na Mwandishi Wetu 

KAMPUNI ya  DP World imetoa msaada wa ambulance kwa Idara ya Zimamoto na Usalama ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika Bandari ya Dar es Salaam hivi karibuni. 

Ambulance hiyo itasaidia kuimarisha huduma za dharura za matibabu ndani ya bandari na kuwahudumia wadau wote wa bandari, wakiwemo wafanyakazi na wakandarasi wa DP World, wafanyakazi wa bandari, mabaharia pamoja na wageni.

Taarifa ya kampuni hiyo imeeleza kuwa mpango huo ni dhamira endelevu ya DP World katika kuimarisha afya na usalama, uimara wa shughuli za kiutendaji, pamoja na ustawi wa jamii ya bandari.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...