Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo tarehe 20 Mei 2026 amewasili mkoani Arusha kwa shughuli za Kikazi. Pamoja na mambo mengine Mhe. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa 13 wa Kitaaluma wa Waandishi Waendesha Ofisi Tanzania (TAPSEA) utakaofanyika kesho tarehe 21 Mei 2026 katika Ukumbi wa Ngurdoto mkoani Arusha.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...