LEO Mei 17, 2026 saa 14:30, Manchester United itakuwa mwenyeji wa Nottingham Forest kwenye Uwanja wa Old Trafford katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) unaomaliza msimu.

Kwa mtazamo wa msimamo, "Mashetani Wekundu" wana nafasi nzuri ya tatu kwa pointi 65, wameshajihakikisha nafasi yao ya kuingia Ligi ya Mabingwa Ulaya . Kwa upande mwingine, Nottingham Forest iko salama katika nafasi ya 16 kwa pointi 43, wamekwepa kabisa msuguano wa kushuka daraja, hivyo wanaweza kucheza kwa raha zaidi .

Mchezo huu una umuhimu mkubwa kwa Manchester United ambao wamekuwa na rekodi nzuri nyumbani msimu huu, wakishinda mechi tano kati ya sita za nyumbani . Hata hivyo, wamtakosa mlinzi wao Matthijs de Ligt kutokana na majeraha.

Kwa upande wa Nottingham, orodha ya majeruhi ni ndefu zaidi ikiwemo Callum Hudson-Odoi, na inaweza kuathiri uwezo wao wa kushambulia kwa kasi. Licha ya hayo, Nottingham wamekuwa na ari ya juu hivi karibuni wakishinda mechi nne za mwisho, hivyo wataingia uwanjani wakiwa na moyo mkubwa.

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Man United inatarajiwa kushikilia mpira zaidi kwa umiliki, wakitegemea ubunifu wa viungo wa ushambuliaji. Kwa kuwa Forest hawawezi kushuka wala kupanda, wanaweza kubadili mbinu na kucheza kwa presha ya chini, lakini wameonesha wanaweza kufunga mabao makubwa, ikiwemo ushindi wao wa mabao 3-0 dhidi ya Manchester United kwenye mchezo uliopita uliomalizika .

Swali kubwa ni je, Nottingham Forest watawezaje kukabiliana na mashambulizi ya Man United hasa wakiwa na ratiba mzigo mkubwa wa majeruhi ? Kwa upande mwingine, je, safu ya ulinzi ya Man United itaweza kuzuia mashambulizi ya wapinzani licha ya kukosa de Ligt ?

Takwimu zinaonyesha kuwa hii ni mechi inayotabiriwa kuwa wa kuvutia, kwani Man United msimu huu imekuwa na bora kwenye upachikaji wa mabao. Hivyo, tunatarajia mchezo wa wazi wa kuvutia.jisajili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...