Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Africa50 inayohusika na Uwekezaji wa Miundombinu barani Afrika, Bw. Alain Ebobissé pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 20 Mei, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Africa50 inayohusika na Uwekezaji wa Miundombinu barani Afrika, Bw. Alain Ebobissé pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 20 Mei, 2026.











Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...