Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Ashatu Kijaji(Mb) amesema, wizara hiyo kufikia Aprili (2025/2026) katika kudhibiti changamoto ya wanyamapori wakali na waharibifu, kwa kushirikiana na wadau imewafunga mikanda ya visukuma mawimbi tembo 51 viongozi wa makundi katika Halmashauri mbalimbali nchini.
Vilevile, simba 20 katika Hifadhi za Taifa za Nyerere, Ruaha, Serengeti na pori la Akiba Maswa wamefungwa mikanda ya visukuma mawimbi.
TAWIRI ndio injini ya kutoa ushauri wa sayansi ya wanyamapori kwa Wizara ya Maliasili na wadau wengine.


.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...