SUBIRA IMEKWISHA! π±⚽
Fainali ya FIFA WORLD CUP 2026 inakuja na Oryx Energies tuko tayari kuitazama pamoja nawe!
Tukutane Mbagala Zakhem
Jumapili | 19 July 2026
Tunayo kwa ajili yako:
π Screen kubwa
π§ Live DJ & Burudani
π Vyakula na vinywaji
π― Hakuna kiingilio
Wacha mpira unoge! Tujaze uwanja tucheke, tupige kelele na tushangilie pamoja πΉπΏ
Tag rafiki zako wa mpira hapa chini π
#OryxEnergies #FIFAWorldCup2026 #Fainali #MpiraNiFursa #Mbagala #Tanzania #WorldCupFinal



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...