Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) ni Bi. Bernadetta Ndunguru akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Baobab mkondo wa Amali Doreen Maki kuhusiana  Fani ya Umeme alivyojipanga katika kufikia malengo ya Uhandisi wa Umeme wakati Mwenyekiti Baraza hilo wakati alipotembelea banda la NACTVET katika maonesho ya 50 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) ni Bi. Bernadetta Ndunguru akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Bwiru mkoani Mwanza  mkondo wa Amali Daud Elias akipata kuhusiana  Fani ya Ujenzi wa Majengo  alivyojipanga katika kufikia malengo ya Uhandisi wa Uhandisi wa Majengo wakati Mwenyekiti Baraza hilo wakati alipotembelea banda la NACTVET katika maonesho ya 50 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET)  Bernadetta Ndunguru akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa NACTVET mara baada kutembelea Banda katika maonesho ya 50 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.

Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...