Matukio mbalimbali katika picha yakimwonesha Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jumanne Muliro na Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha vyuo na vyuo vikuu Asha Feruzi Leo tarehe 6 Julai, 2026 walipotembelea banda la Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji (ORMU,) katika maonesho ya Sabasaba na kupata maelezo kuhusiana na shughuli zinazofanywa na Ofisi hiyo.









Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...