Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (kushoto), akisikiliza maelezo kutoka kwa mfanyakazi wa NBAA Makyei Ntiro alipotembelea banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) lililopo katika jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba).
Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (kushoto) akipokea zawadi alipotembelea banda la Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA)Happiness Mwamwembe alipotembelea banda la NBAA katika maonesho ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Mstaafu, Bi. Anne Makinda (kushoto) akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la NBAA katika maonesho ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Mstaafu, Bi. Anne Makinda (kushoto) akizungumza na watumishi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) alipotembelea banda la Bodi hiyo lililopo katika jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (MB) (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA, CPA. Prof. Sylvia Temu (kulia) alipotembelea banda la Bodi NBAA katika maonesho ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA, CPA Dkt. Mwamini Tulli akisikiliza maelezo kutoka kwa mfanyakazi wa NBAA Naimani Fute alipotembelea banda la NBAA katika maonesho ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.(Sabasaba)
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya NBAA, CPA Dkt. Mwamini Tulli akisaini kitabu alipotembelea banda la NBAA alipotembelea banda la NBAA katika maonesho ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Bw. Dennis Simba akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la NBAA katika Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Bw. Dennis Simba kwenye picha ya pamoja na watumishi wa NBAA alipotembelea banda la Bodi hiyo katika Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
CPA Kulwa Emmanuel Malendeja, Mkurugenzi wa Huduma za Shirika Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA)  akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Bodi hiyo katika Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...