CRDB Bank imeshiriki katika kilele cha Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu 2026, kinachofanyika Jijini Tanga, ikiwa ni sehemu ya ushiriki wa wadau mbalimbali kutoka sekta ya umma na binafsi katika maadhimisho hayo.

Ushiriki wa CRDB Bank unaendelea kuakisi nafasi ya sekta ya fedha katika kuchangia jitihada zinazolenga kuimarisha elimu, ujuzi na ubunifu kama nyenzo muhimu katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini

John Mtani, Meneja Mwandamizi wa Biashara za Serikali, CRDB Bank, akishiriki katika kilele cha Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu 2026 jijini Tanga, pamoja watumishi, viongozi mbalimbali na wananchi waliotembelea Banda la CRDB Benki.






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...