Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda akiwa katika Banda la NACTVET kuangalia baadhi ya fani zilizo katika mashindano ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu ya Ujuzi na Ubunifu yanayoendelea jijini Tanga.Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda akiwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la NACTVET Benedetta Nduguru wakati Waziri Prof Mkenda alipotembelea Banda la NACTVET maonesho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu ya Ujuzi na Ubunifu yanayoendelea jijini Tanga.
Matukio mbalimbali katika Picha Banda la NACTVET Maonesho ya Wiki ya Elimu Tanga,




.jpeg)

.jpeg)
.jpeg)

.jpeg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...