Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwajulisha wananchi na walipakodi wote kuwa ofisi zake katika mikoa yote nchini zitakuwa wazi kesho, Jumamosi, tarehe 29 Agosti 2026 Kuanzia saa 2:30 asubuhi mpaka saa 11 jioni kwa ajili ya kutoa huduma za kikodi.

Wananchi na walipakodi wote mnakaribishwa kufika katika ofisi ya TRA iliyo karibu nawe kupata huduma mbalimbali . Pamoja tunajenga Taifa Letu.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...