Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Msanii Mkongwe kutoka nchini Afrika ya Kusini Yvonne Chakachaka, tarehe 20 Agosti, 2026 Ikulu jijini Dar es Salaam.Msanii huyo yupo nchini kwa ajili ya kushiriki katika Jukwaa la Mashariki Creative Expo 2026 likiwa na lengo la kutoa elimu na ulinzi kwenye kazi za ubunifu zinazojumuisha filamu, sanaa za ufundi na muziki.






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...