Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza alipotembelea banda la Kampuni ya Mawasiliano Yas katika Maonesho ya Tamasha la Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, Agosti 12, 2026. Yas ni miongoni mwa wadau muhimu wa Uchumi wa Buluu na maendeleo ya utalii Zanzibar, kupitia uwekezaji wake katika miundombinu ya mawasiliano na huduma za kidijitali zinazochangia kuimarisha muunganisho na ukuaji wa sekta ya utalii visiwani humo.
Home
HABARI
RAIS DKT.SAMIA ATEMBELEA BANDA LA KAMPUNI YA MAWASILIANO YAS MAONESHO YA TAMASHA LA KIZIMKAZI ZANZIBAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)









Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...