Wadau mbalimbali wametembelea banda la INADES-Formation Tanzania lililopo katika Banda la Mashirika ya Kimataifa na Washirika wa Maendeleo kwenye Maonesho ya Kilimo ya Nanenane yanayoendelea Nzuguni, jijini Dodoma.

Wakati wa ziara hiyo, wadau walipata fursa ya kujifunza mbinu bora za kilimo hai (Agroecology), ufugaji endelevu wa mifugo, pamoja na uhifadhi wa mazingira.









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...