Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 17, 2026 atafungua na kufunga Kongamano la Kitaifa la Wanamipango, linalofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC)

Kongamano hilo linalokutanisha zaidi ya wajumbe 1300 kutoka mikoa yote Tanzania  lina kaulimbiu isemayo: Kutekeleza Dira ya 2050: Kuimarisha upangaji  Jumuishi : Utekelezaji na Matokeo

Baadhi ya viongozi wanaoshiriki katika kongamano hilo ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Tausi Kida na Mjumpe wa Tume ya Taifa ya Mipango Balozi Ombeni Sefue.







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...