Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo tarehe 28 Septemba 2026, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Mji wa Michezo Zanzibar (AFCON), Fumba, Wilaya ya Magharibi “B”, Unguja.
Rais Dkt. Mwinyi amekagua miundombinu mbalimbali ikiwemo uwanja wa mpira wa miguu, viwanja vya mazoezi, mabwawa ya kuogelea na Diving Pool, Fan Zone yenye uwezo wa watu 4,000, pamoja na bandari kwa ajili ya boti ndogo na kubwa.
Awamu ya kwanza ya mradi inatarajiwa kukamilika Desemba 31, 2026, ikiwa ni hatua muhimu kuelekea Zanzibar kuwa miongoni mwa wenyeji wa mashindano ya AFCON.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...