Ipswich Town wanawakaribisha Liverpool katika uwanja wao wa Portman Road, Ijumaa ya leo majira ya saa 22:00 usiku, mchezo huu ni mzunguko wa tatu wa msimu wa 2026/27 wa Ligi Kuu ya Uingereza, na mechi hii inatarajiwa kuwa na mvuto mkubwa kutokana na hali za timu hizi mbili kutokana na michezo yao ya awali msimu huu.
Ipswich Town wamerudi Ligi Kuu baada ya kutwaa nafasi ya pili katika Championship msimu uliopita. Wameanza msimu vizuri kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Sunderland nyumbani, lakini walipata pigo kubwa la kufungwa mabao 5-2 na Manchester United huko Old Trafford.
Hata hivyo Matokeo hayo yanaonyesha kuwa Ipswich wana nguvu mbele lakini wana upungufu mkubwa katika ulinzi, wakiwa wamefunga mabao manne na kufungwa sita katika mechi mbili za kwanza.
Kwa upande wa Liverpool, msimu wao umeanza kwa uchovu kidogo timu hiyo imepata sare mbili mfululizo katika mechi zao za awali, ikionyesha usawa wa mabao manne kufunga na manne kufungwa.
Hata hivyo, takwimu za uchezaji binafsi wa wachezaji zinaonyesha Liverpool bado wana ubora wa hali ya juu kwenye uwanja, hata kama matokeo ya mechi za awali hayajaonyesha hilo bado.
Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kihistoria, Liverpool wana rekodi kubwa dhidi ya Ipswich, wakiwa wameshinda mechi 39 kati ya 74 walizocheza dhidi yao, huku Ipswich wakishinda mara 14 tu na sare 21. Mchezo wao wa mwisho ulimalizika kwa ushindi mkubwa wa Liverpool wa mabao 4-1, jambo linaloonyesha wazi ubora wa Liverpool katika historia ya ana kwa ana.
Wachezaji wa kufuatiliwa ni pamoja na Abdul Fatawu na Julio Enciso kwa upande wa Ipswich, ambao wamekuwa wajenga mashambulizi ya ubunifu eneo la mbele, huku Liverpool wakitegemea nguvu zao za kawaida za mashambulizi , ili kurejesha mwendo wao baada ya sare mbili za awali.
Kutokana na umuhimu wa mechi hii kwa Ipswich, ambao wanahitaji pointi za haraka kuimarisha msimamo wao wa msimu huu wa kwanza tangu kurejea ligi kuu.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...