Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Stephen Wasira, amewasili leo mkoani Iringa, ambapo amepokelewa na viongozi wa Chama na Serikali wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Komredi Daudi Yasin.

Ndugu Wasira amepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Nduli, mkoani Iringa, alipowasili kwa ajili ya shughuli mbalimbali za Chama.

Akiwa mkoani humo, pamoja na shughuli nyingine, Ndugu Wasira anatarajiwa kufungua Mafunzo ya Wakufunzi wa Chama yatakayofanyika katika Chuo cha Mafunzo cha Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM).





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...