Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Mohamed Salem Ahmed Al Rashdi, Balozi Mteule wa Falme za Kiarabu (UAE) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Ingrid Johansson, Balozi Mteule wa Sweden hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na Mheshimiwa Lot Debruyne Balozi Mteule wa Ubelgiji hapa nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.








Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Annett Gunther, Balozi Mteule wa Ujerumani hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.





Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Rahmat Omobolanle Mohammed Balozi Mteule wa Nigeria hapa nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
.jpeg)
.jpeg)
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Salem Yousef Alhamdan, Balozi Mteule wa Kuwait hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.













Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...