Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, akisalimiana na Spika wa Bunge la Wawakilishi la Uingereza (House of Commons), Sir Lindsay Hoyle, wakati wa Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), kilichofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), jijini Arusha, leo Oktoba 6, 2026.
Mhe. Zungu aliambatana na Wawakilishi wa Bunge la Tanzania katika IPU.
Wakati huohuo, Baraza la Uongozi la Umoja wa Mabunge Duniani limemchagua Spika Zungu kuwa Rais wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), unaoendelea jijini Arusha.









Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...