Hi everybody!
Mi ndo nimeishaingia bongo na kukuta mambo yote poa. poa kwa maana ya kwamba kampeni zimepamba moto na kila mtu anaongoelea uchaguzi ujao. nilipokuwa helsinki washkaji waliomba picha za miss tanzania mpya na aliyepita. kwa hiyo nawapatia washindi wa tatu wa kwanza na pia miss tz 1999 hoyce temu ( anayesoma marekani na alikuja mwanzoni mwa mwezi, na keshaondoka), miss tz 2004 faraja kotta pamoja na taji.

Michuzi karibu mno mno. Tutakufuatilia na usituangushe. Tafadhali lete, leta picha. Picha zako hazina mfano...nazijua. Toka zamani sana.
ReplyDeleteBw. Michuzi,
ReplyDeleteNimefurahi sana kusikia kwamba na wewe umejiunga na ulimwengu wa blog.
Natarajia utatumia ujuzi na uzoefu wako wa miaka mingi wa upigaji picha na uandishi wa habari kutupatia taarifa mbalimbali kutoka sehemu utakazokuwa unatembelea kikazi au hata kwa starehe zako za binafsi ;-)
Tafadhali sana usiache kuambatanisha picha, maana huo utaalam wako wa kupiga picha ndio uliopelekea upate maarufu ulionao hivi sasa!
Nakutakia afya njema na kila lakheri katika majukumu yako ya kila siku.
Mwenyezi Mungu akubariki.