Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh!Jiji la Arusha hilo.Michuzi umenifanya nikumbuke pale karibu na uwanja huo.Nina maanisha Mrina,pale watu wanapokesha na supu motomoto!
ReplyDeleteUmesahau jina sahihi Jeff. Trupa.
ReplyDeleteEti wanaiita "geneva ya Afrca".
ReplyDeletehuyu jamaa anaitwa egidio anatabia ya kukandia sana sasa kwani unaona wivu ikiitwa jiji? au unamji wako ulitaka kuupa hilo jina? wacha upuuzi. ndio ni jiji wewe inakuuma nini?
ReplyDeleteMichuzi naomba kwa hisani fanya kuweka picha kama hizo za miji mbalimbali ya Tanzania maana tuna uhaba mkubwa kabisa wa picha za Tanania ukitaka kuzipata kuonyesha watu through intanet.
ReplyDeletePicha inanikumbusha enzi za sekondari kwa MZee Bino pale Ilboru. Inanikumbusha Kijenge, Mianzini, Ngarenaro, Enaboishu, na hata mpaka kule Duka Mbovu. Lakini Michuzi ulipanda juu ya mtu ukapiga au una helikopta siku hizi kama Chadema?
ReplyDeleteHaha Haha.. Nna mbawa siku hizi. Cheki ya dar na mnazi mmoja soon.
ReplyDeleteTunashukuru Michuzi maana naona kweli umetambua kiu yetu. Safi sana endeleza nguvu hiyo
ReplyDeletehapo umepatia maana sisi jamaa wa arusha tumefurahi sana kuona muji wetu hupo poa
ReplyDelete