Huyu ndiye Inspekta Jenerali wa Polisi Tanzania Alhaj Omari Mahita, kwa msiomjua.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. mngeondoa huo mzoga pembeni ya afande mkuu kabla ya kupiga picha.
    Mnaona amenuna kwa ajili ya kusikia harufu mbaya...

    ReplyDelete
  2. Kwani anastaafu lini naye?

    ReplyDelete
  3. Mwambieni afanye mazoezi maana mnene mno hata bosi wa JMK yuko fiti

    ReplyDelete
  4. Mbona anafanana na Idi Amini Dada?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 15, 2006

    POLISI SURA YAKE INATAKIWA IWE HIVYO,HAPO HADI ATABASAMU;SIO SURA INAONEKANA KILA SAA IMEJAA TABASAMU.
    NDIO AFANDEEEEEEEEEEEEEEEEEE!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...