Umati wa wakazi wa Bagamoyo wakiangalia Tamasha la Sanaa la BAgamoyo 2005 kwenye chuo cha sanaa bagamoyo. Vijana wengi wa kibongo wanapenda sana sanaa siku hizi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michuzi,
    Unaweza kuwapata waandaaji wa tamasha hili?Kuna uwezekano mkubwa wa baadhi ya vikundi kuja kufanya maonyesho hapa Canada hususani wakati wa majira ya joto.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...