Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mwanasheria Mkuu Mpya Bw. Johnson Mwanyika Ikulu Dar 24/12/05. Huo ni uteuziwa wake wa kwanza toka achukue nchi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Huyo mheshimiwa mteule inapaswa awe na confidence kwani nilishuhudia wakati anaomba bunge liidhinishe jina la Waziri mkuu Lowassa aliyeteuliwa na mheshimiwa JK lakini comfo lilikua down kabisa!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...