Jamani mwaikumbuka listi hii ya 1961?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Umepekua kweli! Sijui kwanini siku hizi viongozi wetu hawawakilishi utaifa wetu kwa kuvaa namna hii. Wote wanataka kuvaa kama akina Joji Kichaka.

    ReplyDelete
  2. Hapo sasa mwa'kwetu!

    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete
  3. ndio naikimbuka hiyo, ni baada ya nyerere kucheza ule mchezo wa kuigiza kujifanya anamwachia uwaziri mkuu kawawa halafu baadae akarudi kama raisi si ndio?

    hiyo ni safi! lakini kwani kawawa alikubali kutumiwa hivyo? ina maana yeyey asingeweza kuendeleza ngoma ya kiinimacho mbele kwa mbele kama mzee ruksa alivyomupiga bao mwalimu?

    ReplyDelete
  4. Kwani Muhidin unaonaje utuwekee nomino za hao mabrazamen tupate kuwafehemu.

    ReplyDelete
  5. Utaifa unajengwa hauji wenyewe kama kivuli.
    Dennis

    ReplyDelete
  6. Kweli kabisa Dennis, utaifa ni kama nyumba. Lazima ujengwe.

    Dennis, wewe ndio tunayekusubiri uanze kublogu!

    ReplyDelete
  7. Dennis,

    karibu kwa blogu! mwanapunda ndio huyoo, zulia jekundu teyari liishatandikwa na matawi yako mkononi, karibu katika jamuhuri yetu ya blogu, visa utapatia huku huku!

    cheers

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 01, 2006

    Mashallah! Mwanapunda kweli. Dennis tunakuhitaji uanze ku-blogu. Yaani nafurahi sana Watanzania tuna hii fursa ya kimataifa BWANA MICHUZI UBARIKIWE maana haijawahi kutokea Mtanzania ana nafasi kwenye Mtandao wenye UHAKIKA AMBAO ULIMWENGU MZIMA UNAPITIA. Nimefurahishwa sana na picha ya kale ambayo Marehemu Baba wa Taifa naye katilia VAZI hilo. Maana viongozi wa siku hizi hawatuwakilishi japo mara moja moja tu kuvaa kitamaduni. Wao ni Suti tu. Hata Mzee RUKSA pia akibadili utamwona na KANZU TU. ya dini yake.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 01, 2006

    Haya basi, hivi yule PAUL RUPIA ALIISHIA WAPI? Maana alikuwa na husda sana ya cheo cha kisiasa, hata ka UWAZIRI tu. Ikawaje? Maana Nyerere alikuwa hana mchezo LAKINI MZEE RUKSA BADALA YA KUMPA KAZI IKULU-- SI ANGEMPATIA UWAZIRI? MAANA NI MTU MZALENDO. Isipokuwa tu amepata hasara maana mtoto wake wa kwanza (PETER) Ambaye ndiye angeonyesha mfano mzuri, anamwangusha sana Mzee wake. Maana TOBA, ana sifa mbaya. Mkewe (mtoto wa KAHAMA) ALIMWANCHA KWA TABIA ZAKE CHAFU. ANALALA NA WANAWAKE TOFAUTI. AMBAO SIO WA-TZ pamoja na wa TZ, ana maneno mazuri ya kuwagilibu wa kina dada ambao hawana msimamo. Kwa sasa Ananajisiana na mtoto wa SINARE, ambaye kidogo anajificha. Lahaulaaaa! Baba yake mtu mzuri sana. Ila watoto wanaaibisha. Yule Suzan alichukuwa mume wa mtu MKENYA ambaye alipokuja TZ akaona mambo ya familia si mabaya akamwacha MKEWE AMBAYE AMEZAA NAE MTOTO. NA KUAMUA KUAMIA TZ NA KUMUOA SUZAN RUPIA. MWINGINE PAULINA RUPIA NAE SASA NA MGANA AMBAYE NI WEMBE. MTOTO MWINGINE YULE SIMON, ALIAMUA KUACHA KAZI GENEVA NA KURUDI TZ. LAKINI KAACHA MADENI KIBAO HUKO USWISS. HAYA KAZI KWENU WASOMAJI. MICHUZI TUNAJARIBU KUMTRESS SHOMBE AMBAYE PIA NI KIDOSHO WA PETER RUPIA AMBAYE ANAISHI UK. Sijui kwanini wa kina dada zetu hawa hawasikii, wanawake wote wa Peter nataka wajiulize KWANINI MKEWE ALIMWACHA? na wanajijua si pekee Peter analala na wanawake wengi, hawezi kubadilika, Kweli JUJU LA WASUKUMA KALI. LAKINI HALIKUPAMBA MOTO KWA WAHAYA...Hongera Anna Kahama, raha jipe mwenyewe. Kaa chonjo tu, uwadaku wakina dada hawa waliojiingiza mkenge, mtoto wa MABIBO, mtoto wa SINARE, MKENYA NA MGANDA, NA PIA WA-TZ Wengine wawili ambao analala nao, mbali ya hao tuliowanukuu hapa.

    ReplyDelete
  10. Jamani site nzuri mno nimeipata kwa bahati kwa kutafuta mambo ya nyumbani Tz. Hongera kwa kuitafuta na kuiweka hewani picha hiyo yenye kumbukumbu pekee ya utamaduni wa Mtanzania kwa mavazi. Ni kweli mtu bila utamaduni bado yu mtumwa. Hizi suti zina wenyewe kumbe fahari yetu mojawapo ni vazi hilo la kitamaduni, viongozi wa Kitanzania waone wivu wa kudumisha mila na utamaduni wetu wasiwe watu wa kuiga tu. Sanga JS

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...