Tukio ni kukwama kwa mabasi yatokayo Dar kwenda Arusha baada ya daraja moja la njiani kubomoka tokana na mvua kubwa mapema mwaka huu. Swali ni je jamaa juu kule anafanya nini toba?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. sasa hapo si mombo tu karibu na transit? kwanini wasirudi kuchapa nyama choma? du mwanangu huku ukila nyama hainogi kama unafanya maigizo!

    ReplyDelete
  2. Hili si jambo la kufarahisha hata kidogo!!!kama hali ndo iko hivyo kwenye barabara kuu ziendazo miji mikuu kama ya akina ndesanjo unadhani mambo yatakuaje kule TANDAHIMBA kwa akina makene?????

    ReplyDelete
  3. Naungana na Don kuhusu yule jamaa wa juu,nadhani ni mambo flani ya kuvizia network!
    Halafu michuzi mbona huyo jamaa aliye mstari wa mbele katikati kafanana na Maalimu seif???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...