Jamaa mmoja toka Amani Znz kakamatwa Dar tarehe 13/12/2005 akiwa njiani kuelekea JFK, New York, na pipi hizi 72 zinazoshukiwa ni heroine. Thamani yake mtaani hapa bongo ni 13m/- za madafu. Kuna anaeweza kunambia kazitiaje tumboni zilikokutwa?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Michuzi hata yeye si kama anaona sifa kumeza pipi hizo ni hali halisi ndio iliyomfikisha hapo. Halafu mbaya zaidi yawezekana na yeye si yeye, ni kibaraka tu.

    ReplyDelete
  2. bora apeleke huko huko

    ReplyDelete
  3. hilo gari kubwa, vipipi vingi hivyo

    ReplyDelete
  4. ni sawa sawa na wale magaidi maana inapofikia mtu huogopi kufa, maana yake thamani ya maisha yako ni sawa na zero. haipo. cha msingi ni muheshimiwa kikwete atengeneza mazingira mazuri ya watu kufanya kazi na kujilipa. hakuna mtu atameza mapipi tena.

    ReplyDelete
  5. Mark..Mark..Mark..Mark..Mark....tunakupenda...kuwa mwangalifu unapoandika....una haraka gani? Zingatia matumizi ya Herufi.

    Tunakupenda.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...