
Vitalis Maembe akiimba wimbo wake wa "Sumu ya Teja" ambao umempaisha na kumfanya nyota wa muziki nchini. Akiwa ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho chuo cha sanaa bagamoyo, tayari maembe anakaribia kuzindua albamu yake ya kwanza yenye nyimbo 11. ukiipata sikiliza "Asalaam Aleikhum", ni bomba. Nasikia mnalalamika siwawekei hizo nyimbo humu. nikiruhusiwa ntaweka, mashhoffu.
Malaika nakupenda malaika (2 times)
ReplyDeleteNami nifanyeje Kijana mwenziooo
Nashindwa na mali sina weeee
Ningekuoa malaika
Ubeti wa pili umeniona. Bony Makene endelea...