Wasanii wa Parapanda Theatre Lab wakicheza mchezo wa 'Samaki wa Dhahabu' hivi karibuni. kundi hili ni pekee lililosalia katika kuendeleza sanaa za jukwaani, ukiondoa chuo cha sanaa bagamoyo. Jamaa wanatisha!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Parapanda usiseme kabisa. Kama ni kutisha wamezidi na kutisha. Wasalimu akina Mnyenyelwa na kijana Mrisho.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 10, 2006

    Jamaa walifanya "nenda mwalimu"

    Sio mchezo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...