Kilimanjaro Band "Wana Njenje" ni mojawapo ya bendi kongwe bongo. Kutoka kushoto ni Muddy Mrisho, Waziri Ally, Kepy Kiombile, Mabrouk Khalfani "Babu Njenje", Juma Omari, John Kitime na Abuu Mwinchumu. Wao bado kila Jmosi wako Ambassador Plaza zamani Gogo Hotel wakila njenje na kujaza watu kibao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Bwana michuzi mbona wewe myimanyongo sana????kwanini hukututajia jina la huyo mrembo???? nikisema anaitwa Nyota waziri nitakua nimekosea???????????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...